Hili nisomo kama yalivyo masomo mengine,liweze kukusaidia katika vita vya kiroho,kwani siku ile tu uliyomkiri Yesu kuwa bwana na mwokozi wako tayari ulitangaza uadui na shetanitabia ya adui haishi kukutafuta akuangamize.Tuone basi nijinsi gani shetani hutuvamia wakristo.
1. Shetani anachochea tamaa zetu za mwili ndani yetu kwa njia ya vitu vilivyo karibu nasi,na akijua wazi vitu hivyo nihatari kwa imani yetu kama wakristo.
2. Shetani anajaribu kutudanganya na uongo wa hekima ya kidunia kwa njia ya dunia kisicho karibu nasi.(kitu kisicho rahisi kukipata)
3. Anatumia yesu wa uongo,injili ya uongo na wakristo wa uongo (manabii wa uongo)
4. Shetani anaweza kutuvamia au wale tuwapendao kimwili yaani katika ugonjwa,uhalifu,mateso nk
Jinsi gani sisi kusimama imara dhidi ya mashambulizi haya?
1. shetani hatujazi mawazo akilini mwetu moja kwa moja bali hutumia maneno ya uongo,shetani anaeneza uongo juu ya Mungu na anatujaza tamaa za mwili na ndio sababu wakati unatenda zambi ni wewe peke ako upo,nimwili wako ndio watenda zambi ndio sababu mwili pia hupata mateso.waefeso 6:11
2.Mkakati wa Shetani katika vita ni udanganyifu,hivyo tushinde udanganyifu kwa nguvu zote tukitumia sara na matendo mema.yohana 8:44 na mwanzo 3:1-6
3. Uasherati, yaani, shughuli za ngono nje ya ndoa
4. ubinafsi
5. ulevi uharibifu
6. Kiburi cha uzima,mafanikio kama vile pesa.
*tutakuwa pamoja katika makala nyingine jinsi ya kusimama imara kama mristo.
0 comments:
Post a Comment